"Video Ya Kutisha YAFICHUA SIRI 5 Ambazo MATAJIRI Wengi Hawataki Uzijue Ili Uendelee Kuwa MASIKINI Milele"

…Tumia Mfumo Huu Mpya Wa Biashara Unaoningizia Zaidi Ya Millioni 10,660,996+ Kila Mwezi Kwa Kutumia Muda Wangu Wa Ziada

Ndugu Msomaji…

 

Leo Nataka Nikuibie Siri ya MATAJIRI Wengi Ambayo
hawataki Uijue Kuhusu Mafanikio…

 

LAKINI…

 

Kabla Sijafichua Siri Hizi Kwako Naomba Nianze Kwa
Kukuuliza Hili Swali…

 

…Je, umewahi kujiuliza jinsi umaskini unavyoweza
kukutesa kila siku?

 

Unapoamka kila siku asubuhi ukiwa na mzigo wa madeni
mabegani mwako,

 

unajiuliza utaishije kesho.

 

…Kipato kidogo unachopata hakitoshi kulipa kodi,
ukifikiria kulipa bili za maji na umeme unakosa usingizi
kabisa.

 

Unalazimika kufanya kazi za mwajiri Wako kama punda,
ukinyanyaswa na kutumikishwa bila hata nafasi ya
kupumzika au kufurahia maisha yako.

 

Pesa unazopata ni za chakula tu, na hata hizo hazitoshi
vizuri.

 

Kila siku ni mapambano ya kuishi, huku ndoto zako
zikizidi kufifia.

 

Unajiona kama umezama kwenye bahari ya madeni, kila
jaribio la kupanda juu linakuletea deni jipya.

Na mwajiri wako? Hana huruma Kabisa…

 

Unafanya Kazi nyingi, mshahara mdogo, na hakuna
matumaini ya kuboresha hali yako.

 

Haya ni maumivu ya kweli ya umaskini.

 

Maumivu ambayo yanaharibu ndoto Yako, yanaharibu
Mahusiano Yako, na yanakufanya uishi kama mfungwa
wa madeni na matatizo Kibao.

 

Je Ungependa Kuyabadilisha MAISHA Yako Leo?

 

Kama Umejibu NDIYO Basi Soma UJUMBE Huu Mpaka
Mwisho Na Ndani Ya Sekunde 60 Zijazo Nitakuonyesha…

 

…Mfumo Mpya Wa Biashara Utakaokuingizia PESA
NYINGI Kama CHUMA ULETE!

 

Yawezekana Bado Huniamini Si Ndiyo?

 

…Ebu Angalia hapa Jinsi Mfumo Huu Wa Biashara
Unavyoningizia MAOKOTO Masaa 24/7 Hata Kama Nimelala…

Hii, Jina Langu Ni Charles Peter,

 

Naishi, Mwenge – Dar es Salaam,

 

…Binafsi Siri Hii nilijifunza 2021 Kutoka Kwa mentor Wangu
Dan Lok

Kitu ambacho kilibadilisha Kabisa Mwelekeo wa Maisha
yangu Mpaka Leo

Dan Lok Alifanya Utafiti wa Kisiri na akagundua Kwamba:

 

MATAJIRI Wote unaowajua wanawekeza Muda wao na
Pesa Zao Nyingi Kwenye Vitu Hivi VINNE:

 

1). TAARIFA


2). EXPOSURE…(Kusafiri)


3). MAZINGIRA


4). WATU

 

Well…Kwa wale Ambao hawamjui Dan Lok Huyu ni
Mjasiriamali na Copywriter Mkubwa anayeishi
Vancouver-Canada

 

Forbes wanamkadiria Kuwa na Utajiri wa $80M…

 

Ngoja nielezee Point Moja baada ya Nyingine Hapa Chini…

 

1). TAARIFA!

 

Matajiri Wote wanajua Kwamba:

 

Pesa Hazitafutwi Bali ZINATEGWA…na Kukusanywa
Kutoka Kwenye Mifuko ya Watu Wengine

 

Na Kitu peke chenye Uwezo wa Kunasa Pesa kama
Sumaku Kutoka Kwenye Mifuko ya Watu Wengine ni
TAARIFA & Ujuzi

 

…Ndio Maana Huwezi Kumkuta Tajiri yupo Busy na
Kutafuta Hela kama Masikini

 

Matajiri Wote Huwa wapo Busy Kutafuta TAARIFA Kutoka
Kwenye Vyanzo Mbali Mbali ikiwemo:

-Vitabu

-Courses

-Coaching

-Mentorship Nk

 

Hakuna Tajiri anayewaza Mara Mbili kuwekeza kwenye
TAARIFA

 

…na ukifanya Utafiti utagundua Kila Tajiri ana Shelfu ya
Vitabu Nyumbani kwake…(Bookshelf)

 

Na Masikini yeye ana TV Kubwa na yupo busy Kutafuta
Hela

 

2). EXPOSURE…(Kusafiri)

Hakuna Kitu chenye Uwezo wa Kubadilisha MINDSET
Yako kama Kukiona Kitu Kwa Macho

 

Matajiri Wengi Huwa ni Watu wa Kusafiri mara Kwa mara
Ili Kununua Experience inayoitwa…

 

“EXPOSURE”

 

Kusafiri ni Mojawapo ya Njia ya Uhakika ya Kujifunza Vitu
Kwa Vitendo

 

…na sio Lazima uende nje ya Nchi Hata Ndani ya Nchi,
Kuna Mikoa ukienda Huwezi Kuwa yule yule

 

Kwahiyo:

 

Nunua Exposure Kwa Gharama yoyote Ile

 

…Hii pia inaongeza CONFIDENCE na Kukufanya Ufikiri
Kwa kina Zaidi Kuhusu Biashara na Maisha Kwa Ujumla

 

3). MAZINGIRA

Ukweli Ambao Watu Wengi hawaujui ni Kwamba:

 

Sisi ni Zao la Mazingira yetu Wenyewe

 

Mazingira unayotumia Muda Mwingi Ndio
yatakayokutengeneza Wewe wa baadae

 

Ukisikia Neno MASAKI Unapata picha ya Watu gani
wanaoishi huko?

 

Ndio Upo Sahihi… ni MATAJIRI

 

Kwahiyo:

 

Sikwambii ukaishi Masaki Leo Ila…

 

…Kuwa Makini sana na Mazingira unayoishi na Kutumia
Muda wako Mwingi Kwasababu yanakutengeneza wewe
wa Miaka Kadhaa Ijayo

 

4). WATU

Wote tunajua Kwamba:

 

Tupo Kwenye Dunia ya Watu…na Watu Ndio Wenye
Pesa Sio Vitu

 

Na Hapa sizungumzii Watu kama Watu…

 

Nazungumzia Watu SAHIHI Kama Wewe Unayesoma
Hapa sasa hivi

 

Kwasababu…

 

Sio kila Mtu ni Sahihi Kwako

 

Ukweli Mchungu Kuhusu Watu ni Kwamba:

“Wewe ni Wastani wa Watu 5 Unaotumia Muda Mwingi
Kuwa Nao”

 

Mfano:

 

Kama Muda wako Mwingi unatumia Kukaa na Matajiri 9…

…basi Wewe Utakuwa Tajiri wa 10 Muda sio Mrefu

 

Hivyo hivyo pia kama unatumia Muda Mwingi Kukaa na
Masikini ambao Muda Mwingi wao ni Kulalamika na
Kulaumu Serikali na Kubishana Kuhusu Simba & Yanga…

 

…Basi tegemea Kuwa Masikini ajaye pia

 

….Na Hii ni FACT!…

 

Kwanini Nakwambia yote Haya?…

 

Kwasababu:

 

Wengi Huwa tunakuja Kushtuka Wakati Ambao Tayari ni…

 

….”TOO LATE”
Tafiti zinasema:

 

“Watu Wengi wanakujaga Kushtuka Kuhusu Vitu Hivi
wakiwa na Umri wa Miaka 57-69″

 

Wanaishia Kupata Pressure na Depression na Wengine
Hata Kupoteza Maisha

 

Wanakuwa hawana Chochote Cha Kubadilisha Kutokana
na Nguvu na MUDA kuwatupa Mkono

 

Kwahiyo:

 

Epuka Kunaswa Kwenye Huo Mtego!

 

Hakuna Kitu kinachoumiza uzeeni kama
MAJUTO….(Regrets)

 

Kwahiyo;
Baada ya kujifunza siri Hizi, akili yangu ilibadilika kwa
namna ambayo sikuwahi kufikiria Kabla…

 

Nilianza kuona fursa mahali ambapo wengine waliona
vikwazo.

 

Kwa hivyo, nikaamua kufungua biashara yangu ya nguo za
kiume na kike katika eneo maarufu la Kariakoo, Mzimbazi
B.

Mwezi wa kwanza, nilijawa na matumaini.

 

Niliweka juhudi nyingi na akili yangu yote katika biashara
hii.

 

Lakini, bahati mbaya,

 

Ni Kwamba…

 

ndani ya miezi mitatu tu, biashara ilikufa Nikabaki
MASIKINI Wa Kutupwa
Nilijitahidi sana kuelewa ni wapi nilikosea,

 

LAKINI…

 

Niligundua Huu Ndio MTEGO Unaokupora PESA Zako
Kwenye Biashara Yako Na…

 

…Kukufanya Uwe MASIKINI…Milele! (Tena Bila Wewe
Kujua)

 

Na Hizi Ndizo Sababu Kubwa Zinazofanya Biashara Nyingi
Kufa (Kufilisika)

 

-Ukosefu wa Utafiti wa Soko:

 

Nilianza biashara yangu bila kufanya utafiti wa kutosha
kuhusu mahitaji ya wateja. 

 

-Ushindani Mkali:

 

Hii Ni Changamoto ya wafanyabiashara Wengi Mno
Ambao Bado Wanatumia Mbinu za Kizamani Kutangaza
Biashara Zao.

 

-Ukosefu wa Mtaji wa Kutosha;

 

Pamoja Na Changamoto Zingine Kibao unazozijua…

 

NA…

 

Baada ya biashara yangu ya kuuza nguo Kariakoo kufa
ndani ya miezi mitatu tu,

 

nilihisi kama ndoto zangu zote zimevunjika.

 

Nilijikuta nikikosa mwelekeo, nikiwa nimejaa maswali bila
majibu.

 

Kama…BAHATI TU!

 

Siku moja, nikiwa nasoma UDAKU kwenye mitandao ya
kijamii,

 

nilikutana na mtu aliyebadilisha maisha yangu Milele!

 

– mentor wangu wa sasa.

Niliona tangazo lake kwenye Facebook…

“likizungumzia mfumo mpya wa biashara kupitia
mtandao”.

Alikuwa akiongelea jinsi watu wengi walivyojikwamua
kiuchumi kwa kutumia mbinu rahisi za kidigitali,

Tena Kwa Muda Wako Wa Ziada Angalau (Masaa 3-4 Kwa
Siku!)

Kwa kuwa nilikuwa Napitia MSOTO Wa Maisha, nilijaribu
kuwasiliana naye moja kwa moja.

Hatua hiyo ndogo iligeuka kuwa uamuzi muhimu zaidi
maishani mwangu.

Alinifundisha hatua kwa hatua, akinionyesha jinsi ya
kutumia fursa za mtandaoni kujenga biashara bila
gharama kubwa wala shinikizo la kukodisha maduka.

Aliweka wazi mfumo huu Mpya wa biashara ambao
unaniwezesha kufanya kazi popote, na hapo…

…Ndipo nilipogundua kuwa Hii Ndiyo Aina Ya BIASHARA
Itakayokulipa MAISHA YakoYote Hata Kama Una Miaka
97+

“Charles Ni Aina gani Ya Biashara?…Safi Nafurahi
Umeuliza

Hii Ni Biashara Inayofanyika Kwa Mfumo Wa…

“Network Marketing”

…katika kampuni ya “Bright Future” ni fursa ya
kujiongezea kipato kupitia…

…Njia Zaidi Ya 5! Za UHAKIKA 100% (GUARANTEED)

NA..

Huu ndio Mfumo mpya wa Biashara Utakao kupa…

“Faida Kuu 5 za Kunufaika na Biashara katika Kampuni
ya Bright Future”

1. Faida ya Rejareja.

Moja ya faida za moja kwa moja katika biashara ya Bright
Future ni uwezo wa kupata faida kupitia kuuza bidhaa
rejareja.

Kwa mfano,

Kuna bidhaa katika kampuni inapatikana kwa bei ya
shilingi 42,000 na Wewe Unaweza kuiuza kwa shilingi
125,000,

Kwa Hesabu Za Haraka Haraka Hapa

utaingiza faida ya shilingi 83,000 kwa kila bidhaa moja
unayouza.

Chukulia Mfano,

Ikiwa utaweza kuuza bidhaa 30 kwa mwezi, utapata faida
ya shilingi 2,490,000.

Mfano,Angalia Mimi jinsi Mfumo Huu Unavyo Print Money
online Hata kama Nimelala..

2. BONUS ya Kila Mwezi Kutegemea na Mauzo Uliyo
fanya.


Katika Kampuni Ya Bright Future, unapata bonasi ya kila
mwezi kulingana na mauzo yako binafsi na ya timu yako.


Kadri unavyouza zaidi, ndivyo bonasi zako
zinavyoongezeka.


Na Hii ni baadhi tu ya BONUS Ambazo Wajasiliamari
Wenzangu Wanapokea Kila Mwezi…

3. Tuzo za Safari Kila Mwaka zenye Thamani ya Shilingi
Milioni 4 hadi Milioni 8.


Bright Future inatambua juhudi za wafanyakazi wake na
huwatunuku safari za kifahari kila mwaka.


Mfano kwenda Dubai,Malaysia,Marekani,Singapore,
nk


Kama Unavyoona Hizi Shuuda Hapa

4. Tuzo za Magari Kila Mwaka zenye Thamani ya
Shilingi Milioni 30 hadi Milioni 60.


Kampuni hii pia inatoa magari kwa wale wanaofanya
vizuri zaidi kwenye mauzo kila mwaka.


5. Tuzo ya Nyumba Baada ya Miaka Mitano yenye
Thamani ya Shilingi Milioni 560.


Baada ya miaka mitano ya kufanya vizuri na kuwa na
timu kubwa yenye mafanikio, unaweza kupata nyumba ya
kifahari yenye thamani ya shilingi milioni 560 kama
sehemu ya motisha kubwa kutoka Bright Future.

Hii inakupa nafasi ya kumiliki mali isiyohamishika,
kukuwezesha kuwa na maisha bora zaidi.

“Biashara ya Bright Future inatoa fursa nyingi za
kujiongezea kipato huku ukijipatia tuzo na marupurupu
mengi, yote yakitokana na bidii na jitihada zako kwenye
biashara hii”.

NA…

Bahati Nzuri Ni Kwamba Mfumo Huu Mpya Wa Biashara…

-Huhitaji Kuwa Na Mtaji mkubwa Kuanza

-Huhitaji Kuwa Bidhaa Yako Mwenyewe

-Huhitaji Kuwa Na FREMU Au Duka

-Huhitaji Kulipia KODI Ya Pango

Unachotakiwa Kufanya Ni…

Kujisajili Moja kwa moja Kwenye Mfumo Wa Kampuni…


Kwa Gharama Ya Tshs 249,999

NA…

Sio hivyo tu…

Kama utajiunga ndani ya Masaa 6 kuanzia sasa hivi Utapata hizi
BONASI Hapa Chini Zenye Thamani ya Tshs 875,000 BURE
Kabisa…

 

BONASI #1: Utaungwa BURE Kwenye Group La VIP (Mentorship
Support) Miaka mitano Mpaka Utimize Malengo Yako…(Wengine
Hulipia Tshs 250,000)

 

BONASI #2: Utapata FREE RECORDED Masterclass Inayoelezea
Hatua kwa hatua jinsi ya Kufanya settings Za ACCOUNT Zako Za
Facebook,Instagram &TikTok…(Huwa Inauzwa Tshs 95,000)

 

BONASI #3: Utapata FREE RECORDED Masterclass Hatua Kwa
hatua jinsi ya kutengeneza Matangazo Yenye Kunasa Wateja
Mtandaoni Kwa Kutumia CANVA(Huwa Inauzwa Tshs 65,000)

 

BONASI #4: Utapata BURE eBook Yangu MPYA Yenye
Mkusanyiko Wa Headline 99 Zinazouza Mtandaoni Hapa Bongo
Inayoitwa “Hooks Sekunde 3”…(Huwa Inauzwa Tshs 75,000)

“Utakopi Tu & Kupesti hizi Headlines kwenye Matangazo yako ya
kuuza bidhaa Zako mtandaoni”

 

BONASI #5: Utapata BURE My Secret PDF Ya Jinsi Ya Kusuka OFA
Ya Kufa Mtu Ambayo Itamfanya Mteja Wako Ajione MJINGA Kama
Hatajinyakulia OFA Yako…(Huwa Inauzwa Tshs 35,000)

 

“Na Si Hivyo Tu…Good News” Ni Kwamba…

…Kama Utalipia Kitabu Chako Sasa hivi Nitakupa MFUMO Mzima
Wa Biashara Yangu BURE Kabisa…

 

BONASI #6: Utapata VIDEO Iliyo Rekodiwa KISIRI Ya Jinsi
Ya kutengeneza MFUMO Utakaofanya Kazi Bila Uwepo Wako 24/7
Hata Kama Umelala…

 

…Mfumo huu ni Maarufu Kama….(Landing page)
(Thamani Yake Ni Tshs 350,000)

 

Secretes: Huu Ni Mfumo Unaowatajirisha Mamilioni Ya

Wajasiliamari Walioshtuka Kwa Sasa hivi

Mfano Kuna Huyu Rafiki yangu Mr AHAZI NGESSY, Alikuwa
akipiga Simu Mara 25 Kwa siku Ili Nimfundishe Mfumo Huu

Na Ndani Ya Mwezi Mmoja Tu Aliweza Kutengeneza Zaidi Ya
Millioni 10M+…

Kama Huniamini Angalia Hapa Anachosema

Ndani ya Masaa 6 Utaweza Kuungana Na TEAM ya WASHINDI…
“UNITED EAGLE’S TEAM”

Pamoja na BONASI Zenye Thamani ya Tshs 875,000 Kwa Malipo
ya…

“Tshs 249,999 Tu”

Tshs 875,000 Punguzo La 98%
Kujiunga Kwa Bei Hii Zimebaki…

Kikubwa zaidi ni kwamba baada ya Kujiunga Na Mfumo Huu Mpya
Wa Biashara…

…Utalindwa na Hii GUARANTEE Hapa Chini…

“Kama ndugu zako na marafiki zako wa karibu hawatakwambia
UMEBADILIKA na umekuwa MPYA baada ya kuanza Biashara Hii
au kama Utatumia $200 Kwenye Matangazo Na Usitengeneze
Faida Ya $800 ndani ya siku 60 zijazo…basi Dai Pesa yako na
Nitakurudishia bila kukuuliza swali Lolote…Kwahiyo Hakuna RISK
Yoyote upande wako”

Chaguo ni Lako….Aidha uendelee kubaki vile vile kama ulivyokuwa
mwaka Jana Au Ufanye Maamuzi Sasa hivi na Ubadilishe kila kitu
ndani ya 2025!

TAFADHALI: Nafasi za watu Watakaopata BONASI ni 9 Tu….Kwahiyo Wahi LIPIA Sasahivi Kabla Hazijanyakuliwa zote

P. S. Ukweli ni kwamba Ukichelewa Kuanza Biashara Utazikosa
BONASI zote…na Kuanzia Kesho Bei Ya Kuanza Biashara Itarudi
kwenye Bei yake ya kawaida ambayo ni Tshs 675,000

…Lakini Leo bado unaweza Kuanza Biashara Hii Kubwa Pamoja na
BONASI Zake Zenye Thamani ya Tshs 875,000 kwa Malipo Kidogo
ya…

“Tshs 249,999 Tu”

Tshs 875,000 Punguzo La 98%
Kujiunga Kwa Bei Hii Zimebaki…

Hey! Bado Upo

Yawezekana Unajiuliza Maswali Haya

● Je Ofisi Yenu Inapatikana Wapi Hapa
Tanzania?

-Well Ofisi Kuu Ipo Dar es Salaam, Mlimani city Lakini Tuna Brach
katika Baadhi ya Mikoa Hapa Tanzania

● Je Ukilipia Hiyo Tshs 249,999, Kujiunga,

Je Kuna Malipo Mengine Badaye?

Hapana ❌ Ukiisha Lipia Hiyo Hakuna Malipo Mengine
Milele,Zaidi ya kuwekeza Kwenye Biashara Yako Tu!

● Je Hizo PESA Nitalipwaje Baada Ya Kufanya Kazi
(Mauzo)

-Well, PESA Zote Utalipwa Kupitia ACCOUNT Zako Za
Simu Kama Vile
TIGO PESA,VODACOM,Aitel Au CRDD & NMB Bank
Accounts.

Kwahiyo Huna Cha Kupoteza Kabisa!